Membership Benefits

Home \ Membership Benefits

The AAT membership presents to the private sector the platform to share knowledge, information and innovations and it also encourages continual development. Members of the Association shall be fully individuals and fully registered Association working on Aquaculture, aquaponic, aimed at bringing positive changes in the society.

Benefits of being an AAT Member

  • We provide a platform for farmers to come together.
  • Through our resource and call center we serve as a direct source of information and sharing to fish farmers, government agencies, partners, consumers and other relevant stakeholders within Aquaculture industry.
  • Building competitiveness among the membership to mitigate unfair completion from aquaculture imports.
  • We advocate for farmers training and capacity building on a continuous basis on issues such as synchronized production, cage/pond management, marketing and value addition e.t.c
  • We advocate for exchange programs in countries more advanced in fish farming technology.

Other benefits include;

  • Subscription to the Latest Newsletters available to members via the website.
  • Discount on Advertising fees on the Website.
  • Discount on Advertising fees on the Newsletter.
  • Discount registration fee to AAT conferences.
  • Members are added to a database of service providers for recommendations.
  • Effective representation of interests on county, national and international forums.
  • To facilitate the flow of information between its members and associated interest groups.
  • Networking opportunities.
Aina ya uwanachama / Type of Membership
  • Taasisi / mashirika / makampuni / vikundi – Company / Organization / ENGO’s
  • Binafsi / wataalam – Personal / Professional
  • Wanafunzi – Students
Ada ya kujiunga / Registration Fee (Tsh)
  • 250,000/-
  • 150,000/-
  • 30,000/-
Ada ya kila mwaka / Yearly Fee (Tsh)
  • 100,000/-
  • 50,000/-
  • 10,000/-

Miongoni mwa Madhumuni makuu ya uanzishwaji wa AAT ni:-

  1. Kuunganisha nguvu ya wanachama kwa pamoja katika kulinda mazingira, kuboresha na kuendeleza ukuzaji wa viumbe maji wenye faida na manufaa kwa mfugaji na nchi kwa ujumla.
  2. Kusimamia mijadala na mahusiano mazuri baina ya serikali na wadau wengine wa sekta ya ukuzaji na uendelezwaji wa viumbe maji ili kutengeneza mazingira mazuri ya biashara katika sekta hii.
  3. Kuunga mkono juhudi za wafugaji kwa kuwajengea uwezo na ujuzi ili kuongeza dhamani na ubora wa bidhaa zao.
  4. Kutoa semina na mafunzo sahihi ya ukuzaji wa viumbe maji kwa wanachama wote.

Ewe

  • Mzalishaji wa vifaranga (hatchery), mfugaji wa samaki iwe kwenye mabwawa ,vizimba ,ama matenki, muuzaji ama mnunuzi wa bidhaa za viumbe maji.
  • Mtengenezaji ama wasambazaji wa vyakula na zana za kuendeleza sekta ya Viumbe Maji.
  • Wataalamu na wanafuzi wote wa sekta ya viumbe maji.

Mnaombwa kujiunga na chama :- Lengo la Taasisi ni kuunganisha nguvu ya pamoja za wadau katika kusukuma maendeleo ya wafugaji na sekta kwa ujumla katika azma ya Serekali ya tano kuelekea uchumi wa viwanda.

Jinsi ya Kujiunga:-

  • Tuma neno “JIUNGE” kwenda kwenye namba ya simu +255 655-829-692 kisha fuata maelekezo.
  • Jaza fomu inayopatikana kwenye tovuti yetu www.aat.or.tz, au waweza ipakuwa na kuijaza kisha kuituma kwenye email info@aat.or.tz au

Sanduku la barua

Katibu Mtendaji,
Aquaculture Association of
Tanzania (AAT),
P.O Box 80840,
Tanzanite Building, 12 Floor, Plot No 38 – South Ursino, Ali Hassan Mwinyi Road – Victoria, Kinondoni
Dar es Salaam, Tanzania.

ZINGATIA/ANGALIZO: Malipo yote ya ada za uwanachama vifanyike kupitia benki kwa akaunti ifuatayo:-

  • Jina la Benki: CRDB Bank – Kijitonyama Branch
  • Jina la Akaunti: Aquaculture Association of Tanzania – AAT
  • Akaunti Namba ni: 0150338255100

AMA kwa TTCL-PESA namba: +255-739-201-205